Michezo
Aristote: Nyumbani kwangu hadi taulo litakuwa la Simba SC
Mfanyabiashara na mjasiriamali Aaristotee atema cheche kwenye mkutano wa @simbasctanzania ambao wametangaza rasmi kuingia kandarasi ya Bilioni mbili ya kuuza jezi na Vunja Bei.