Askari saba wafutwa kazi kwa kuvuka mpaka

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limewafukuza kazi askari saba (7) wa kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje kwa kosa la kuvuka Mpaka na kuingia Nchini Malawi wakiwa na mavazi ya kipolisi na silaha za moto ikiwa ni kinyume na taratibu za kijeshi .

Kamanda wa Polisi Mkoani Songwe, Janeth Magomi amethibitisha tukio hilo.

Related Articles

Back to top button