Michezo
Aucho na Mukwala wala shavu tena

Updates π
β‘οΈ Nahodha wa timu ya Taifa ya Uganda πΊπ¬ Khalid Aucho (31) na Mshambuliaji Steven Mukwala (25) wameitwa kwenye kikosi cha timu yao ya Taifa kwaajili ya mechi za kufuzu World Cup 2026
β‘οΈ Uganda watacheza dhidi ya Mozambique π²πΏ Machi 20 na dhidi ya Guinea π¬π³ Machi 25