Aunt Ezekiel aeleza furaha yake baada ya Waziri Mkuu kumuulizia maonyesho ya Sabasaba (+Video)

Msanii wa Bongo Movie na mjasiriamali @auntyezekiel amefunguka kuhusu mimba yake na kueleza muhusika wa mimba hiyo baada ya kuulizwa ni ya @_kusah_ au @moseiyobo

Mbali na hilo Aunt Ezekiel ambaye ni mmoja ya wasanii walioweka mabanda katika maonyesho ya Sabasaba ameeleza furaha yake baada ya Waziri mKuu kumuulizia ingawa yeye hakuwepo na kuachiwa ujumbe kuwa asalimiwe.

 

Related Articles

Back to top button