Aunt Ezekiel atolea ufafanuzi mimba yake na kueleza muhusika ni Kusah au Mose Iyobo (+Video)

Msanii wa Bongo Movie na mjasiriamali @auntyezekiel amefunguka kuhusu mimba yake na kueleza muhusika wa mimba hiyo baada ya kuulizwa ni ya @_kusah_ au @moseiyobo

Mbali na hilo @auntyezekiel amezungumzia kuhusu ufunguzi wa maonyesho ya Sabasaba ambapo Waziri Mkuu alimuulizia na kutuma salamu kwake kwamba “Msalimieni “ baada ya yeye kukosekana kwenye banda lake. Pia @auntyezekiel amemwagia sifa @zamaradimketema na kusema “ @zamaradimketema ni Genious mwembamba lakini akili zake kubwa.

 

Related Articles

Back to top button