Burudani

Aunt Ezekiel: Mimi ni mama bora, nataka mtoto wa tatu

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii wa Bongo movie Aunt Ezekiel ameandika kuwa” Mm ni Mama Bora yawezekana ikawa sio kwako ila kwa Watoto wangu Mm ni Bora….🥰
Thank U God kwa Zawadi za Watoto Wawili Wazuri🙏❤
Nataman wa Tatu😢
Awe wa Kike plz🥰
#WatotoRaha

Aunt akiwa na binti yake wa kwanza Cookie

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents