Hamza Fumo

Wanakunywa Supu ya Pweza- Rais Samia acharuka (+Video)
Afya

Wanakunywa Supu ya Pweza- Rais Samia acharuka (+Video)

Rais Samia alia na lishe nchini  ”Wanakunywa Supu ya Pweza, tuna tatizo na mnalijua mnalificha, watafiti fanyeni utafiti, tuna tatizo…
Kimbunga Ian chaipiga Florida na kuacha historia
Habari

Kimbunga Ian chaipiga Florida na kuacha historia

Rais wa Marekani Joe Biden anapanga kuzuru Florida baada ya kukumbwa na kile kinachohofiwa kuwa mojawapo ya vimbunga vilivyosababisha vifo…
Serengeti Girls waichapa Southampton 3-0
Habari

Serengeti Girls waichapa Southampton 3-0

Timu ya taifa ya wasichana U17 Serengeti Girls imefanikiwa kupata ushindi wa goli 3-0 dhidi ya timu ya Southampton ya…
Baba, mama ni mashabiki wa Simba – Msemaji wa Yanga Ally Kamwe afunguka A-Z 
Michezo

Baba, mama ni mashabiki wa Simba – Msemaji wa Yanga Ally Kamwe afunguka A-Z 

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe kupitia Wasafi fm amesema kuwa Baba na Mama yake ambao wamekuwa wakimlea…
Mkoa wa Pwani wajiandaa na Uchaguzi mwishoni mwa wiki hii
Habari

Mkoa wa Pwani wajiandaa na Uchaguzi mwishoni mwa wiki hii

Kaimu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Pwani ,Elisante Msuya ameeleza ,maandalizi ya uchaguzi wa Wilaya katika nafasi mbalimbali…
Hakuna karantini sababu ya Ebola – Museveni
Afya

Hakuna karantini sababu ya Ebola – Museveni

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameondoa wasiwasi kwa umma uliodhani angetangaza hatua za karantini katika kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa…
Shakira kupandishwa kizimbani kwa udanganyifu wa kodi
Burudani

Shakira kupandishwa kizimbani kwa udanganyifu wa kodi

Mahakama moja katka mji wa Barcelona nchini Uhispania imeamuru nyota wa muziki wa pop duniani, Shakira, kupandishwa kizimbani kukabiliana na…
Mkataba wa Dejan wavunjwa !!!
Habari

Mkataba wa Dejan wavunjwa !!!

Kupitia mitandao ya kijamii kumeibuka tetesi za nyota wa Klabu ya Simba SC raia wa Serbian, Dejan Georgijević kundoka. “Nathibitisha…
Ahmed Ally afunguka kuhusu afisa habari wa Yanga Ally Kamwe 
Habari

Ahmed Ally afunguka kuhusu afisa habari wa Yanga Ally Kamwe 

Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba SC, Ahmed Ally amempongeza Ally Kamwe kupata nafasi ya kuwa Afisa Habari…
Ally Kamwe afunguka kwa mara ya kwanza akiwa Afisa Habari wa Yanga (+Audio)
Habari

Ally Kamwe afunguka kwa mara ya kwanza akiwa Afisa Habari wa Yanga (+Audio)

Afisa Habari mpya wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wapinzani wao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa, Al…
Rais wa Madaktari aunga mkono mgomo wa wafanyakazi wa afya Uganda
Afya

Rais wa Madaktari aunga mkono mgomo wa wafanyakazi wa afya Uganda

Rais wa jumuiya ya Madaktari nchini Uganda amesema anaunga mkono mgomo unaofanywa na wafanyakazi wa afya ambao wanaishutumu serikali kwa…
Kimbunga ‘Ian’ chaipiga Cuba, wasiwasi waibuka Florida
Habari

Kimbunga ‘Ian’ chaipiga Cuba, wasiwasi waibuka Florida

Kimbunga kilichopewa jina la Ian Jumaane kiligonga magharibi mwa Cuba kwa kishindo, na kuwaacha takriban watu milioni 1 bila umeme,…
Yanga wamtaja Afisa Habari mpya Ally Kamwe
Habari

Yanga wamtaja Afisa Habari mpya Ally Kamwe

Klabu ya Yanga imemtangaza Ally Kamwe kuwa Afisa Habari mpya na Priva Abiud (Privaldinho) ameteuliwa kuwa msimamizi mkuu wa Digital…
CEO wa Yanga, Mtine asahau ‘Daima mbele Nyuma mwiko’ (+Video)
Habari

CEO wa Yanga, Mtine asahau ‘Daima mbele Nyuma mwiko’ (+Video)

Wakati akimaliza kuzungumza na waandishi wa habari CEO mpya wa Yanga SC, Andre Mtine alisahau kusema maneno hayo na hivyo…
Back to top button