Serikali kujenga vituo vya kupokea na kupoza umeme kila Wilaya
Habari
13 hours ago
Serikali kujenga vituo vya kupokea na kupoza umeme kila Wilaya
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema Serikali kupitia TANESCO itahakikisha inajenga vituo vya kisasa vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme…
Tunasogeza huduma za kisheria karibu zaidi na wananchi- Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Habari
2 days ago
Tunasogeza huduma za kisheria karibu zaidi na wananchi- Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ametoa wito kwa wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kupata…
Ewura yapongezwa kwa kudumisha uhimilivu wa bei za nishati
Habari
2 days ago
Ewura yapongezwa kwa kudumisha uhimilivu wa bei za nishati
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Subira Mgalu, ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za…
Nishati ya umeme inachochea kasi ya maendeleo mkoani Singida- Meya Singida
Habari
2 days ago
Nishati ya umeme inachochea kasi ya maendeleo mkoani Singida- Meya Singida
Afungua kikao kazi kati ya TANESCO na viongozi wa Serikali za Mitaa, Kata na Madiwani Mstahiki Meya wa Manispaa…
Dk. Msonde aitaka AQRB kuimarisha uwajibikaji, umoja na mshikamano
Habari
2 days ago
Dk. Msonde aitaka AQRB kuimarisha uwajibikaji, umoja na mshikamano
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Ujenzi, Dkt. Charles Msonde ameitaka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB)…
Serikali yatoa vitabu bure kwa shule za mkondo wa amali
Habari
3 days ago
Serikali yatoa vitabu bure kwa shule za mkondo wa amali
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania Dkt. Aneth Komba amesema, Serikali imetoa vitabu vya masomo ya Elimu ya Amali…
Wizara ya Maji yazindua mpango wa Bilioni 94.7 kuimarisha huduma za maji Hanang’
Habari
3 days ago
Wizara ya Maji yazindua mpango wa Bilioni 94.7 kuimarisha huduma za maji Hanang’
Wizara ya Maji imezindua mpango maalum wa uwekezaji wa maji safi, usafi wa mazingira na usafi binafsi wenye thamani ya…
Mafuta ya Trans Fatty Acids yanavyogeuka tishio la kimya kwa afya ya watoto na vijana
Habari
3 days ago
Mafuta ya Trans Fatty Acids yanavyogeuka tishio la kimya kwa afya ya watoto na vijana
Na Janeth Jovin, Dar es Salaam KATIKA miaka ya hivi karibuni, wataalamu wa afya wamekuwa wakionya kuhusu ongezeko la magonjwa…
JWTZ, UN Women, NBS, UDSM waingia ubia kuchuguza vikwazo vinavyowazuia wanawake kushiriki operesheni za ulinzi wa amani
Habari
4 days ago
JWTZ, UN Women, NBS, UDSM waingia ubia kuchuguza vikwazo vinavyowazuia wanawake kushiriki operesheni za ulinzi wa amani
Utekelezaji wa mradi wa kutathmini mapungufu na vikwazo vinavyozuia ushiriki wa wanawake katika operesheni za kulinda amani umeanza rasmi leo,…
Msimu wa pili mbio za Pande Marathon kuzinduliwa Februari 14 siku ya wapendanao
Habari
4 days ago
Msimu wa pili mbio za Pande Marathon kuzinduliwa Februari 14 siku ya wapendanao
Uzinduzi wa mbio za Msakuzi Pande Game Reserve Marathon awamu ya pili, zinazofanyika ndani ya Pori la Akiba la Pande,…
Ndugu wa familia moja washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Habari
4 days ago
Ndugu wa familia moja washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia ndugu wa familia moja ambao ni Solomon Mwambyale (68) pamoja na watoto wake wawili,…
Watu wanne mbaroni kwa tuhuma za kusafirisha bangi Kilo 45
Habari
4 days ago
Watu wanne mbaroni kwa tuhuma za kusafirisha bangi Kilo 45
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi yenye…
Jeshi la Polisi kununua mbwa wapya wa kisasa kukabiliana na wahalifu
Habari
4 days ago
Jeshi la Polisi kununua mbwa wapya wa kisasa kukabiliana na wahalifu
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amesema Jeshi la Polisi litaendelea kuweka jitihada za kununua mbwa wapya…
Hakuna mjadala, Ulega aagiza wakandarasi kuwalipa wafanyakazi wao kwa mujibu wa sheria
Habari
4 days ago
Hakuna mjadala, Ulega aagiza wakandarasi kuwalipa wafanyakazi wao kwa mujibu wa sheria
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza wakandarasi nchini kulipa watumishi wao kwa mujibu wa sheria za nchi na si kuwapunja.…
Wamiliki wa viwanda, wazalishaji wahimizwa kuzalisha bidhaa bora, kutumia nembo ya ‘Made in Tanzania’
Habari
5 days ago
Wamiliki wa viwanda, wazalishaji wahimizwa kuzalisha bidhaa bora, kutumia nembo ya ‘Made in Tanzania’
Wamiliki wa viwanda na wazalishaji wa bidhaa mkoani Pwani wametakiwa kuhakikisha wanazalisha bidhaa zenye ubora unaokidhi viwango ili kuongeza ushindani…