Michezo
Ayoub Lakred asitufanye Simba Hospitali
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amezungumza haya kuhusu urejeo wa kipa Ayoub Lakred raia wa Morocco aliyekuwa nje kwa Majeruhi.
“Itakapofika Dirisha dogo na Ayoub Lakred bado hajapona majeraha yake basi tutalazimika kuikiria vinginevyo, sisi (Simba) Siyo Hospiali kama mchezaji anaumwa na hajapona lazima tumuondoe ili tulete mchezaji mwingine.
“Simba SC ni timu ya ushindani kwahiyo lazima tuangalie kitu chenye faida kwa mchezaji na klabu”, amesema Ahmed Ally