
Azam FC wametolewa kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mikwaju ya penati 4-3.
Wachezaji wa @azamfcofficial waliyokosa penati ni Sillah, Bajana wakati ile ya ziada ya sita imekoswa na Iddrisu.
Mchezo wao wa kwanza walitoka 2-1 kama ilivyotokea leo ambapo Azam walipata bao la ugenini kama ilivyo kwa Bahir Dar hii leo.