MichezoVideos

Azam watua Dar kinyonge, Ubingwa una raha yake (+Video)

Matajiri wa Jiji la Dar Es Salaam Wanalambalamba Azam FC wametua Dar Es Salaam wakitokea Zanzibar katika Michuano ya Kombe la Mapinduzi 2022. Azam FC walipoteza goli 1 – 0 dhidi ya Simba SC kwenye mchezo wa Fainali uliyopigwa jana usiku Januari 13, 2022 na Ubingwa kuchukuliwa na Mnyama Simba SC.

Related Articles

Back to top button