Michezo

Aziz Ki afichua siri ya Dube

Kwa mujibu wa Aziz Ki msimu ujao hatakuwa mfungaji bora kwa kuwa atakuwa na kazi ya kumtengenezea Assist Prince Dube pamoja na Guede ili wafunge mabao na haitakuwa tena kazi yake kufunga kwa kuwa yeye sio mshambuliaji.

Aziz Ki amefunguka hilo alipokuwa Insta Live akizungumza na mmoja wa Staff wa Yanga dawati la Digital.

“Mimi ni kiungo mshambuliaji hivyo sitakuwa na jukumu la kufunga nitakuwa na kazi ya kuwatengenezea Dube na Guede wafunge alisema Aziz Ki.

 

 

 

 

 

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents