
Kiungo wa Yanga SC,Stephen Aziz Ki yupo nchini ufaransa na timu yake ya taifa ya Burkina Faso wakitarajiwa kucheza na timu ya taifa ya Morocco ambao mchezo ulishindwa kufanyika kutoka na majanga ya mji wa Marrakech kikubwa na tetemeko la Ardhi.
Kupitia Msemaji wa Yanga SC akizungumza kupitia Wasafi Fm amesema kiungo mshambuliaji wao kutoka Burkina Faso anatarajiwa kujiunga na wenzake nchini Rwanda kuwakabili Al Merreikh.
Credit by Issaya Dede




