B Classic baada ya mvutano na Otile aachia ngoma mpya ‘WATETE’ (+ Video)

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya ūüáįūüᙬ†@bclassic006¬†ameachia ngoma mpya inayoitwa¬†#WATETE¬†ambayo amemshirikisha msanii mwingine Arrow Bwoy

Ikumbukwe siku za hivi karibuni @bclassic006 alikuwa na mvutano na #Otile akidai kuwa Otile ameshindwa kuitumia nafasi yake ingawa alieza kuwa sio kwamba ana mdharau Otile bali ni msanii mkubwa na anamkubali na hana bifu naye.

Related Articles

Back to top button