Baada ya Collabo na Harmonize, Nandy amkamata na Alikiba ‘NIBAKISHIE’

Miongoni mwa wasanii waliofanya vizuri kwa mwaka 2020 ni Nandy ‘The African Princess’  kwa sababu ya nyimbo zake kufanya ku-trend kwenye ‘industry’, chart za BongoFleva, mitandaoni na madili ambayo ameyapata.

Mbali na hilo pia siku za hivi karibu amekuwa akifanya collabo na wasanii wakubwa Tanzania ikiwemo collabo yake na Harmonize na sasa maetuleta ngoma mpya akiwa na Alikiba nibakishie.
Ngoma hiyo bado haijaiachia kwenye mtandao wake wa Youtube ameeleza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ataanza kuiachia kupitia Boomplay.

Related Articles

Back to top button