Burudani

Baba Levo adai Diamond alitumia Tsh Mil.500 promo ya EP ya FOA (Video)

 

Msanii wa muziki na Matangazaji wa Wasafi Fm @officialbabalevo amedai Diamond ndio msanii pekee ambaye anaweza kuwekeza zaidi ya Tsh Mil. 500 kwenye muziki.

Amedai uthubutu huo ndio kitu pekee ambacho kitamfanya aendelee kuwa bora zaidi kuliko wasanii wengine ambao wanaogopa kuwekeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents