UncategorizedVideos

Baba Levo afunguka siri aliyoambiwa na Diamond, adai hawezi mshauri chochete bosi wake (Video)

Msanii wa muziki na mtangazaji wa Wasafi Fm @officialbabalevo amesema amekuwa akizungumza na @diamondplatnumz mara kadhaa jinsi alivyojipanga kikamilifu mwaka 2022 kuwekeza zaidi kwenye muziki wake.

Hayo yamejiri usiku wa jana kwenye uzinduzi wa EP ya FOA nyenye nyimbo 10.

Kuangalia matukio yote tembelea YouTube ya BongoFive

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents