Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Baba levo amlipua Mtangazaji wa Bongo5 kudai Diamond ameshuka kimuziki

Baada ya Mtanngazaji wa Bongo5 @el_mando_tz kudai kuwa kuna namna Diamond ameshuka kimuziki kutokana na ukimywa wake kupitia kipindi cha RECAP na MANDO Baba levo amemtolea uvivu na kumueleza sababu za Diamond kushuka.

Baba levo ameeleza kuwa ni kweli ila Diamond alikuwa busy na media yake kwanza kuna vitu alikuwa anaviweka sawa ila ana nyimbo na collabo kubwa ambazo hazijawahi kusikika popote.

Ikumbukwe kuwa siku ya jana Diamond na uongozi wake wametangaza kuanza Tour yake nchini Canada na Baba levo amesema na yeye atakuwepo kwennye safari hiyo.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents