Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Baba levo: Bongo movie haiwezekani hoteli wanalala chumba kimoja wawili
Leo msanii na Mtangazaji wa Wasafi Media @officialbabalevo ameondoka nchini kuelekea Dubai kwa ajili ya kupumzika. @officialbabalevo amesema kuwa anaenda Dubai kupimzika kwa siku 7 tu atumie hela zake na arudi.
Mbali na hilo @officialbabalevo amewaachia neno wasanii wa Bongo movie akisema kuwa kauli yake hataipindua na ataendelea kubaki kwenye msimamo wake pale pale.
@officialbabalevo amesema kuwa wasanii wa Bongo movie wabadilike.