Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariUmbea

Baba levo: Mimi na Mwijaku ni PWAGU na PWAGUZI, hatujawahi kusafiri nje ya nchi

Baada ya safari yao ya kwenda Uturuki kukwama @officialbabalevo aeleza kuwa @mwijaku alichangia safari hiyo kukwama baada ya kufika Airpot.

@officialbabalevo ameeleza kuwa VISA ilikuwa inaonyesha watasafiri tarehe 1/7 lakini @mwijaku hakuiaoma vizuri wao wakaondoka.

@officialbabalevo ameongeza: Mimi na Mwijaku hatujawahi kusafiri nje ya nchi tulikutana PWAGU na PWAGUZI.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents