Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Baba levo sio mwana Hip hop, alibahatisha ngoma moja tu – Suma Mnazaleti
Suma Mnazaleti anasema kuwa @officialbabalevo sio Mwana Hip Hop bali alibahatisha ngoma moja tu ya Haina Low.
Rapa huyo ambaye anatoka Kigoma Mkoa anaotoka pia @officialbabalevo @sumamnazaleti_ anaongeza kuwa mkoa mzima wa Kigoma yeye ndio rapa mkali na aliyebakia kutoka mkoani humo.
Kuhusu collabo na @officialbabalevo @sumamnazaleti_ anasema @officialbabalevo lazima aogope kufunikwa.