Bongo5 ExclusivesBurudani
Babalevo ampa makavu Esha ni mshamba, amsifia Shilole (Video)

Usiku wa kuamkia leo @officialbabalevo ameingilia kati sakata na Shilole pamoja na Esha Buheti ambapo katika hili ameng’ata na kupuliza huku akidai Esha Buheti anajua kupika lakini si mfanyabiashara shilole anahela nyingi ni tajiri pesa alizonipa zinafika bilioni 3 toka nikiwa mdogo
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5