Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond Platnumz
Babalevo amuibia Wimbo Diamond Platnumz (Video)

Usiku wa kuamkia leo msanii wa muziki wa Bongofleva amesema kwamba baada ya Diamondplatnumz kuachia Video ya Komasava remix na yeye anaachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Home Boy amboo wimbo huo ni maalum kwa ajili ya Diamond
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5