Bongo5 ExclusivesBurudani
Babalevo atangaza kumfunga Wakazi(Video)

Baba levo anaanza safari ya kuelekea Uturuki ambapo amesema anapelekwa na@silent_ocean_ltd
halafu baadae ataenda Dubai ambapo atakutana na @diamondplatnumz ambapo watafanya wote Show.
Mbali na hilo @officialbabalevo amethibitisha kwenda kuchukua begi lililopotea na tayari ameshafungua
mashtaka ya kumfunga @wakazi
Video nzima ipo YouTube ya Bongofive.