Habari
Babu Tale atoa ufafanuzi udaktari wake (Video)
“Mimi ni daktari kwenye muziki, Ubunge haujanipa udaktari”
Meneja wa Diamond na Mbunge wa Morogoro Kusini @babutale ametoa ufafanuzi kuhusu kinachoendelea mtandaoni kuhusu udaktari aliotunikiwa na Chuo Kikuu cha Marekani.
Tale amedai wengi ambao wanapinga udaktari wake hawajaelewa, kwani udaktari huo amepewa kutokana na mambo makubwa aliyoyafanya kwenye muziki wake.