Habari

“Bado sijapata talaka, kuna wanaume wanataka majimbo yenye migogoro” Mke wa Dk Mwaka

 

Mke wa Dk Mwaka Queen Oscar amefunguka mengi muda mchache baada ya kulamba dili la ubalozi kutoka kampuni ya magari ya @b_mcar_dealers_co.ltd .

Baada ya kuzungumza na waandishi Hyatt Hotel jijini Dar Es Salaam, alizungumza na Bongo5 kuhusu sakata lake la kudai talaka pamoja na kufukuzwa kwenye nyumba ambayo alikuwa akiishi.

Queen amedai licha ya Mwaka kutompatia talaka mpaka sasa, ameamua kuendelea na maisha yake kwaajili ya kuwatafutia ridhiki watoto na talaka itamkuta kwenye shughuli zake.

Amedai baada ya kutangaza kwamba jimbo lina mgogoro kuna wanaume wengi wamejitokeza yaani wanaonaka wapo tayari kwaajili ya majimbo yenye mgogoro.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents