Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Balaa MC: Baada ya kumjibu Nay wa Mitego Instagram alinitafuta tukayamaliza
Baada ya @naytrueboytz kusema wasanii wa Singeli hawajielewi @balaa_mc alimjibu kuwa atamuonyesha ni kwa namna gani wanajielewa na kujitambua.
Baada ya kuzungumza naye ameeleza kuwa @naytrueboytz ni kaka yake na walilimaliza muda mfupi baada ya kjibizana mitandaoni.