Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemhamisha Balozi Dkt. Pindi Chana, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii kuwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.