Afya

Barack Obama athibitisha kukutwa na virusi vya Corona

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama alituma ujumbe wa twitter siku ya Jumapili kwamba amepimwa na kukutwa na virusi vya Corona (COVID-19). Katika ujumbe wa Twitter, alisema: “Nimepimwa na kukutwa na virusi vya corona. Nimekuwa nikikohoa kwa siku kadhaa, lakini ninahisi.

  

Michelle na mimi tunashukuru kupata chanjo ee amepimwa hajakutwa na virusi. “Inatukumbusha kupata chanjo ikiwa haujapata bado, hata kama visa vya maambukizi vinapungua.”

Tangazo la Obama linakuja wakati maeneo mengi nchini Marekani yameripoti kupungua kwa idadi ya visa, wagonjwa wanaolazwa hospitali na vifo wakati wimbi la omicron likififia.

Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kinasema pia kupoungua kwa maambuki tangu Februari. CDC pia inaripoti kuwa 81.5% ya Wamarekani wamepata angalau moja ya chanjo ya coronavirus, ingawa Obama, ambaye amechanjwa, anaonekana kuwa na kile kinachojulikana kama kesi nadra za waliochanjwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents