Mahojiano

Baraka de Prince ” Nilipotee kwenye muziki nilipotoka Rockstar, Tatizo ni Seven Mosha sio Alikiba na sio kwa sababu nimeacha kuandikiwa nyimbo” – Video

Baraka de Prince " Nilipotee kwenye muziki nilipotoka Rockstar, Tatizo ni Seven Mosha sio Alikiba na sio kwa sababu nimeacha kuandikiwa nyimbo" - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @barakahtheprince_ ameweka wazi sababu zilizomfanya ashuke kimuziki na kusema kuwa menejimenti ya mwanzo ya Rockstar iliyochini ya Seven Mosha ndio imechangia kwa kiasi kikubwa kuporomoka kwake.

Baraka ameongeza kuwa anashangaa sana aliona watu wanamhusisha @officialalikiba wakati wanampa mzigo usiomhusu wakati yeye alikuwa msanii mwenzake kwenye lebo ya Rockstar, Mbali na hilo Baraka amefafanua kuwa sio kwamba ameshuka kimuziki kwa sababu ameacha kuandikiwa nyimbo na msanii wa Injili @goodluckgozbert ingawa kweli alimuandikiaga wimbo mmoja hapana sababu kubwa ni Seven Mosha ambaye anang’ang’ania platform zake kama akaunti yake ya Youtube.

By Ally Juma.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents