Staa wa muziki wa Bongo Fleva Baraka De Prince ameamua kuonyesha upande wake wa pili kuwa ni Mkulima mzuri tu.
Kwenye Instagram yake “Vijana Tufanye Kazi Kwa Bidii,Umasikini Ni Ugonjwa Mbaya Sana,Nauchukia umaskini..MTAFUTAJI 11 by @youngkillermsodokii Feat The black Prince 🤴🏿 Is Out worldwide 🌎.