Basata wajadili maadili kwa wasanii, yawataka kujiangalia (Video)

Baraza la Sanaa la Taifa @basata.tanzania kupitia Jukwaa la Sanaa lililofanyika Space Arts Mikocheni jijini Dar Es Salaam limewakusanya wadau mbalimbali wa sanaa nchini kujadili maadili kwa wasanii wa muziki baada ya siku za karibuni wasanii kuonekana kutumia kiki ili ku-boost muziki wao.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Naibu Katibu Mtendaji wa BASATA, Matiko Mniko amesewataka wasanii kuendelea kusimamia sheria katika kuandaa kazi zao huku akidai yeyote ambaye atakiuka sheria na utamaduni atapata adhabu kali.

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button