Burudani

Basata wakanusha kumfungia TundaMan “Tatizo lipo kwenye ule msalaba” (Video)

Baraza la Sanaa Taifa @basata.tanzania limekanusha kumfungia msanii @tundamantz ingawa wanachunguza malalamiko waliyopokea na matumizi ya msalaba kwenye mechi ya Simba Day

Katibu Baraza Dkt Mapana amesema wao sio watu wakufungia fungia wasanii kama kama zamani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents