Burudani

Basata watangaza kuufungia wimbo mpya wa Sugu ‘#219’ na kumpa onyo kali

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limetangaza rasmi kuufungia wimbo mpya ‘#219’ wa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu.

Basata wametangaza hilo kupitia barua yao waliyoitoa Jumanne hii ambayo inaelezea sababu za kuufungia wimbo huo ni kutokana na kuwa na maneno ya uchochezi na kuhatarisha amani pamoja na utengano katika jamii.

Mbali na kuufungia wimbo huo, Basata wamemuonya msanii huyo kwa kumtaka kuacha mara moja kuutangaza na kuisambaza ngoma hiyo. Soma barua hiyo hapo chini.

Related Articles

Back to top button