Burudani

Basata yaongeza muda Wasanii wasiokuwa na vibali mwisho May 30

Katika mazungumzo na waandishi wa habari siku ya leo Katibu Mtendaji BASATA Dkt. @kmapana ameongeza muda hadi tarehe 30 Mei, 2024 kwa wasanii kuhuisha vibali vyao vya kufanya shuguli za sanaa nchini mara baada ya kupokea maombi kutoka kwa maraisi wa mashirikisho ya sanaa za ufundi, maonesho na muziki nchini

Ikumbukwe wiki moja iliyopita Baraza lilitoa tamko lililowataka wasanii kuhuisha vibali vyao ndani ya siku saba kabla ya kuweka hadharani orodha ya wasanii wote ambao vibali vimepitwa na wakati.

Video nzima ipo katika Youtube channel yetu ya Bongo5

Written by @abbrah255 and @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents