Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tht Betrice Mathew, hivi sasa anayemba na kibao chake kipya, ameongea na Bongo5 kuhusu jinsi miaka 50 ya UHURU na usia wake kwa wasanii wa kike ambao wanajaribu kuja na baadaye wakifanikiwa wanajawa na sifa na kisha kujisahau na kupotea kabisa.
Miaka 50 ya UHURU na Beatrice Mathew
{hwdvs-player}id=1668|width=560|height=340{/hwdvs-player}