Beki wa Chelsea Alonso, aeleza sababu za kugoma kupiga magoti kampeni ya ubaguzi wa rangi

Beki wa Kushoto wa Chelsea FC, Marcos Alonso amesema kuwa hatopiga goti tena kama ishara ya kupinga vitendo vya ubaguzi kabla ya mtanange wowote wa ligi kuu ya uingereza, kutokana na kukithiri kwa matukio ya ubaguzi wa rangi kwa wachezaji weusi.

Raia huyo wa hispania anasema badala yake ataelekeza na kunyoosha kidole kwenye beji ya Ligi Kuu, inayosema ‘Hakuna nafasi ya ubaguzi wa rangi’ iliyopo kwenye bega.

 

Related Articles

Back to top button