Bongo5 ExclusivesHabariMichezo

Beki wa Inter Milan De Vriji yupo Serengeti

Serengeti imekuwa kivutio ambacho mastaa wengi kipindi hiki cha likizo wanakuja kuvinjari.

Beki wa kati wa klabu ya Inter Milan kutoka nchini Italia na timu ya taifa ya Mholanzi Stefan de Vrij na mpenzi wake Doina Turcanu,wametembelea mbuga ya Wanyama ya Serengeti nchini Tanzania.

Kupitia mitandao yake ya kijamii hasa Instagtam De Vriji amethibitisha hilo.

 

Related Articles

Back to top button