Burudani

Ben Pol kwenye collabo moja na Juan Daniel kutoka Ujerumani

Msanii Kutoka nchini Ujerumani @juandaniel.official amepata Shavu la kumshirikisha Msanii pekee Kutoka Tanzania King of R&B @iambenpol ngoma ambayo itatoka kesho.
Na hivi karibuni Msanii huyo na benpoul walionekana pande za Uganda wakila bata naimani ilikuwa ni maandalizi ya project hiyo.

Related Articles

Back to top button