Michezo

Benchikha apex mechi tatu tu

Aliyekuwa kocha wa Simba Sc Abdelhak Benchikha anakalia kuti kavu ndani ya klabu yake JS Kabylie ya Algeria baada ya klabu hiyo ya Ligi Kuu Algeria kuambulia point 6 tu kwenye mechi 5 za Ligue 1 huku ikikamata nafasi ya 10 kwenye msimamo.

Taarifa kutoka Nchini humo zinaeleza kwamba kocha huyo wa zamani wa USM Algers amepewa mechi 3 tu za kujiuliza kabla ya kutupiwa virago ikiwa klabu hiyo itaendelea kuwa na mwenendo usioridhisha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents