HabariVideos

Benki ya NMB yaingia mtaani kuzungumza na wateja juu ya Teleza Kidigitali (+ Video)

Leo asubuhi benki ya NMB Imeingia mtaani kuzungumza na wateja juu ya kampeni ya Teleza Kidigitali huku wakilenga kuingiza Watanzania wengi zaidi katika sekta rasmi ya kibenki.

Akiongea na wanahabari Afisa Mtendaji Mkuu wa benki Ruth Zaipuna amesema kuwa “Tumehamasisha ufunguaji wa Akaunti, tumewaeleza Wateja juu ya kutoa na kuweka pesa kupitia NMB Pesa Wakala, kuvuta mkopo kupitia Mshiko Fasta na kufanya malipo na Lipa Mkononi.

Afisa akiongizana na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara – Filbert Mponzi na timu nzima ya NMB Tandika kuhakikisha wanateleza kidijitali na kufaidi huduma mbalimbali za kidogitali kupitia benki hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents