HabariMichezo

Benzema atua Saudi Pro League bado Messi

Ligi Kuu ya Saud Arabia imekuwa kimbilio la wachezaji wengi wenye majina makubwa Duniani.

Usiku wa kuamkia leo Klabu ya Al Ittihad @ittihadclub.sa imetangaza rasmi kumsajili aliyekuwa Mshambuliaji wa Real Madrid, @karimbenzema kwa kandarasi ya miaka mitatu.

Benzema anaungana na mchezaji mwenzake wa Real Madrid Cristiano Ronaldo @cristiano kwenye Ligi hiyo ya Saudi Pro League akiwa na timu ya Al Nassr.

Wakati wachezaji wazito wazito wakitua Saudi Pro League jina la #Messi limekuwa likihusishwa na Klabu ya Al Hilal

Serikali ya Saudia imetoa fursa kwa matajiri kuwekeza kwenye Klabu za Ligi hiyo hatua ambayo inalenga kuongeza mapato ya Saudi Pro League hadi kufikia riyal bilioni 1.8 sawa na dola za Marekani milioni 480 ifikapo mwaka 2030.

Credit by @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents