BurudaniMapenzi

Bibi wa miaka 63 kuzaa na Mjukuu wake wa miaka 26

Huu ni ushahidi mwingine kuwa umri ni namba tu kwenye mapenzi na kuzaa ni mipango na baraka za Mungu.

Bibi mwenye umri wa miaka 63, Cheryl na Mume wake Quran McCain mwenye umri wa miaka 26 wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza baada ya kuonyesha majibu ya vipimo vya ujauzito kupitia video hii.

Tayari Cheryl ni mama wa watoto 7, Bibi wa wajukuu 17 pia alikutana na Mume wake mwaka 2012 akiwa na umri wa miaka 14 kisha kufunga ndoa 2021.

Gape la miaka iliyopo katika ndoa yao kati ya Cheryl na Quran ni miaka 37.

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents