HabariMichezo

Bilionea Mark Zuckerberg ashinda ulingoni

Mwanzilishi wa Facebook na Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Meta, Mark Zuckerberg amewashangaza mashabiki na wapenzi wa mchezo wa Karate baada ya kushinda medali za dhahabu na fedha katika mashindano yake ya kwanza ya jiu-jitsu ya Brazil.

Bilionea huyo mwenye umri wa miaka 38, Mark Zuckerberg ameuthibitishia ulimwengu kuwa anao uwezo mkubwa hata nje ya teknolojia baada ya kuposti picha kwenye mitandao yake zinazomuonesha akishinda katika shindano lake la kwanza la BJJ na kuondoka na medali.

Mnamo mwaka 2022, Zuckerberg alimwambia Joe Rogan kuwa anavutiwa mno na michezo ya ‘martial arts’ na tangu wakati huo amekuwa akifanya mazoezi.

Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents