UncategorizedVideos
Bilionea Rostam afunguka mpango wa uwekezaji wake tigo (Video)
Mfanyabiashara Rostam Aziz amejitokeza kwa mara ya kwanza na kuizungumzia lengo lake na kuamua kuwekeza kwenye kampuni ya Tigo Tanzania.
Bilionea huyo amewataka Watanzania kuwaunga mkono wawekezaji wazawa kwa kuwa wao ni chachu ya maendeleo moja kwa moja.
Kuangalia full video tembelea YouTube ya Bongo5
Written and edited by @yasiningitu