Burudani
Billnass aizungumzia Wasafi Festival,Nandy Festival ipo Juu atoboa Siri

BILLNASS AGUSIA USHIRIKIANO WAKE NA DAIMOND,AITAJA WASAFI FESTIVAL
Katika mazungumzo na Bongo 5 tv @billnass ameeleza kuhusu ukaribu wake na @daimondplatnuzm ambapo katika hilo amesema anapenda sana kutumbuiza anapenda sana Burudani “nafurahi kuona namna ambavyo Wasafi Festival Ruangwa imejaza hata Nandy Festival imejaza si kitoto natamani matamasha yawe mengi Nchini
Video Nzima ipo katika Akaunti yetuyoutube ya Bongo5
Written and edited by #abbrah2