HabariMichezo

Bin Kazumari: Rais kashasema, hutaki kaa nyumbani lia (+Video)

@jemedarisaid akitukumbusha jambo kuhusu kauli ya Rais Samia kwa Uongozi wa #Yanga na @feisal194 ‘’Jambo limeshakwisha hili, amezungumza Rais wa Nchi nani tena atapinga, yeye ndiyo raia namba moja wa nchi hii akisema amemaliza.’’

‘’Kulikuwa na kauli mbili, yakwanza hapendezwi na migogoro ya wachezaji…. Kauli ya pili ilikuwa atahitaji mrejesho, kwamba malizeni halafu mje mniambie sasa utakwenda kusema tumeshindwana.’’

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents