
Baraza la Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam kupitia Kamati ya ya Uendeshaji Chipukizi katika kikao chake cha kawaida kimefanya uteuzi wa wajumbe Watatu ambapo limemteua Qayla Nurdin Bilal (Mtoto wa Msanii @officialshetta) kuwa Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji.