Bongo5 ExclusivesFahamuHabari
Binti wa Shetta Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa, alaani Mwanafunzi Kupigwa (Video)
Binti wa Msanii Nurdin Bilal alimaarufu kama Shetta Ndg- Qailah Nurdin bilal @officialqayllah amelaani tukio la Mwanafunzi kudaiwa kupigwa na kuumizwa Shuleni.
Qailah ametumia vivuli viwili kama Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Watoto katika Taasisi ya @sawa_tanzania lakini pia kama Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa.
Qailah ametaja sheria anazotakiwa kupewa Mtoto/Mwanafunzi akiwa Shuleni.
Msikilize kisha toa maoni yako.
Written and edited by @el_mando_tz