
Bipolar ni neno ambalo limekua likisikika sana na wengi huenda hawafahamu maana yake ni nini
@yasiningitu amezungumza mengi na Mtaalamu wa Afya ya akili Bosco Bosco anaelezea maana ya Bipolar pamoja na vitu vingi vinavyohusiana na Afya ya Akili
Full interview tayari ipo YouTube – BongoFive




